• Home
  • About

VIDEO | Harmonize - Aiyola

 Yap Video ilio kua iki subiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki kibao wa Bongo flavour ya wimbo unao fahamika kwa jina la Aiyola kutoka kwa msanii up coming ambae pia yupo chini ya Wasafi Harmonize ime toka. Video hiyo ime fanyika nchini Africa Kusini ..

Itazame apa..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...