Young Killer amesema muziki umeweza kumlipa vya kutosha kiasi cha kufanya mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kununua gari lake la kutembelea.
Young Killer aki ongea na bongo5 ame sema kuwa amenunua gari hiyo ili iweze kumsaidia katika shughuli zake za kimuziki akiwa ndani ya Dar es Salaam.
“Japo sio kikubwa lakini nimenunua kagari, si jipya linanisaidia sana, ni gari la kawaida tu used na nimenunua kwa mshikaji wangu, si unajua ndo mwanzo,” amesema rapper huyo.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...