• Home
  • About

Ya moto band wa kaa kikao na God Fadher kupanga mipango ya video yao pamoja na Diamond .

Vijana wa ki Tanzania chini ya Mkubwa Fella Yamoto Band wamewasili jana nchini Afrika Kusini (South Africa) , ambako wameenda kufanya shooting ya video yao ya kwanza kuwahi kufanya na director mkubwa wa nje ya nchi,  Yamoto na uongozi wao wakifanya kikao na Godfather..
yamoto-na-Godfather
Yamoto Band Wakiwa kwenye kikao Cha Kupanga Ufanyaji wa Video hiyo, Babu Tale, Said Fella , Godfather na Diamond Platnumz
Yamoto Band wameshare picha wakiwa Afrika Kusini na uongozi wao, Said Fella, Babu Tale na Diamond. Katika picha hizo walionekana wakiwa kwenye kikao na director atakayefanya video yao Godfather.

“Hii ni mipango ya video jinsi itavyokuwa yani jinsi gan itaanza na itaisha asante mungu asante pia@mkubwafella @babutale @diamondplatnumz@i_am_godfather dua zenu 2 wadau amen.” aliandika muimbaji wa band hiyo Beka kwenye moja ya picha hizo.
“Mikakati inaanza na @i_am_godfather na vijanaa wa @yamoto_band kuhusu video kesho na kaka yao @diamondplatnumz mungu tushikie wajawako na hili” Aliandika Babu Tale

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...