• Home
  • About

Huyu hapa msanii mwingine wa bongo movie anae taka kuingia kwenye siasa..

 Huyu hapa ni star mwingine wa bongo movie anaye taka kuingia kwenye  uli mwengu wa siasa.

Ana itwa lucccy komba mmoja wa mastar walio anza sanaa ya uigizaji mika mingi aki anzia kwenye vituo vya tv kama ITV . kwa sasa staa huyu ana ishi ughaibuni baada ya kuolewa. kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka picha naku weka captation (ujumbe) kua.
“Msiseme wanawake tu semeni pia na wasanii tunaweza, hongereni wote wasanii mlioamua kujikita kwenye siasa na mimi nakuja huko kuchukua ubunge wa kwetu Songea”- Lucy ameandika.
huyu akiwa n msanii wa pili wa kike baada ya Wema sepetu.

credit: bongomovie

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...