• Home
  • About

Diamond kama Dr.Dre kuja na headphones zake mwake huu..


Diamond Platnumz anafuata nyazo za wasanii wakubwa kama Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50 Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones. 
      Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake.
“Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond.
“Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats.”

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...