• Home
  • About

Flaviana Matata ku pamba Jarida jipya la NewAfricanWoman




  Mrembo anae fanya poa kwenye ulimwengu wa modeling Flaviana Matata ndie ana pamba jalada la jarida la New African Women kwa mwaka huu. kupitia twitter acount ya New african women wame post cover la jarida hilo likiwa lime pambwa na picha ya Flaviana matata


"COMING SOON! Our June/July UK & International cover with @FlavianaMatata #flaviana #naw styled by @fashionjunkii  " Wame andika NewAfricanWoman.
https://pbs.twimg.com/media/CFxvZpHWoAATSOF.jpg

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...