• Home
  • About

WhatsApp yaja na hiki kipya ...

 Kipya kutoka WhatsApp sasa hivi una weza kutumia huduma ya whatsApp kwa kutumia computer kama unavyo tumia kupitia simu yako ya ki ganjani, Huduma hii hai wa husu wale wanao tumia Iphone kutokana na kile wanacho kiita 'Apple platform limitation' , Kwa wale wanao tumia simu za Adroid , Nokia s60 ,Black berry , Windows mambo ni sawia kabisa kwa kuipata huduma hii..

 Unacho takiwa kufanya ni ku upgrade kupata latest version ya WhatsApp kisha ingia kwenye web ya whatsapp.com uki tumia browser ya google chrome itakayo kuonyesha QR code. Hakikisha pia simu yako ime unganishwa kwenye computer kwanjia ya USB.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...