• Home
  • About

Ben Paul kuachia SOPHIA ndani ya wiki hii..

 Wewe ni shabiki wa Ben paul ?!! Anda maskio yako kwa hamu yakusikiliza Nyimbo yake mpyaa iki wa na jina SOPHIA , Ngoma hiyo ana tarajia kui achia ndani ya wiki hii kupitia Local Music distribution channels zote. Ame andika kupitia ukurasa wake wa Facebook..
  "Good News!!! SOPHIA will be available on other Local Music distribution channels. Turn yo music alarms ON.. SOPHIA Officially Airs this Thursday (15.01.2015).."

   Nyimbo hiyo ina tarajiwa kutoka tarehe 15. ya mwezi huu ambayo itakua ni siku ya alhamisi ya wiki hii.. Pia hapa habaribongo kwa kuku jali wewe tuta iweka uweze kuipata..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...