• Home
  • About

Joh Makini aongelea ubora wa video ya Isee Me.


 Baada ya video ya Ise mee Kutoka kwa Joh makini kutoka na mashabiki kadhaa kuweza kui kosoa kua iko chini ya kiwango . Joh ame zungu mza na Enewz Ya Est Africa Tv na kusema kua mashabiki wengi huwa wana jijengea video zao wenyewe kabla ya video Kufanywa na hiyo huwa ina wapa tabu sana kuweza kuelewa kitakacho kuja kuotoka yaan Video yenyewe ikija kutoka.
 “Kinacho wakosti watu wengi ni kwa sababu kila mtu amekuwa akitengeneza picha yake kichwani ya video ya wimbo,” alisema. “Sasa inakuwa tofauti kutengeneza picha kwa kila mtu. Kuna watu wengi wametoa maoni yao na wamekubali video na wameipenda na sisi tumekubali ile concept ya design ile ni concept ya mazingira, yaani najua kitu ambacho watu walitaka kukiona kwahiyo tumeamua kwenda tofauti. Wakati mwingine kwenye muziki unatakiwa kuwa tofauti na usiogope challenge na kufanya kitu tofauti. Suala la low budget video tumeshoot Nairobi na imelipwa hela ambayo siwezi kukwambia kwa sababu hatupendagi hivyo vitu lakini labda ukimpigia director Enos Olik.” Alisema Joh Makini ambae kwa sasa ana tamba na video mpya ya Xo aki mshirikisha G-nako Ikiwa under Director Nisher Toka Nisher Entertainment..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...