• Home
  • About

SAD NEWS | Mnenguaji Asha Madinda aiaga dunia

 Mne nguaji mahiri wa bendi ya Twanga pepeta na Extra Bongo Asha madinda ame iaga dunia hii leo katika hospitali ya mwana nyamala. Chanzo cha kifo chake bado hakija julikana .
image

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...