• Home
  • About

FASHION : Martin kadinda kuja na New style kwenye swahili fashion week hii

 Mwana mino aliye jizolea sifa kupitia Single buttons blazer na kwachu kwachu, Martin Kadinda ana ttarajia kuzindua collection mpya ya mavazi katika onyesho la swahili fashion week tarehe 7 hii.

 Martin ame sema collection yake ta bebwa na viatu vyake amabavyo ni vya kiume.  Ame sema kuna wa bunifu walio mtangulia katika suala la ubunifu ila yeye ame boresha naku zidisha nakshi ili kuweza kushinda soko la viatu Tanzania.

IMG-20141202-WA0002

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...