• Home
  • About

Rapeper Geez Mabovu ai aga dunia .

 Rapper aliye wahi kutamba na ngoma kadha za hip hapa bongo zikiwamo za Mtoto wa kiume, Geez mMabovu ame iaga dunia usiku wakuamkia Alhamis 13 mkoani kwao Iringa. Geez Mabovu alienda mkoani Iringa wikimoja na nusu  ambapo ali anza kuugua mfululizo kabla ya kifo chake kumkuta. Taarifa za awali zina dai kua msiba wa Geez una weza kufanyika Alhamis hii.

  December 27 Raper huyo ali zaidiwa kabla ya show yake aliyo kua aka ifanye mkoani Iringa katika ukumbi wa Twista Night Club ambapo alikua atumbuize na ma Raper wengine wakiwamo Wakazi , Songa Chidi benzi..
 Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...