• Home
  • About

PHOTOS : Diamond, Wajee wa shoot video jijini Cape town S.Africa.


     Diamond Platnumz ame amua kusafiri hadi nchi south Africa kwenye mji wa Cape town Kimya kimya kwenda ku shoot video ya wimbo alio shirikishwa na msanii tokea Nigeria Waje. Video iyo ime  shootiwa katika fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape town. Tizama picha zaidi

IMG-20141104-WA023
On set
wajee
Diamond akiwa na Waje
diamond

IMG-20141104-WA009IMG-20141104-WA036

waje
Picha hii ilionekana Insta gram ikiwa ime postiwa na Jesse Ebuka Okoli akiwa kaiandika ujumbe " On set yesterday with the ever amazing @Official waje ft Diamond #Coco music baby official video.


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...