• Home
  • About

Navio 'Natamni kufanya kazi na Izo bizznes'

Msanii tokea Nchini Uganda Navio kwa sasa yupo nchini Tanzania, Msanii huyo kwa siku ya jana ali kua kwenye interview na East africa Radio ndani ya kipindi cha  power jam. Navio alisema ana tamani kufanya collabo na msanii wa Tanzania Rapper Izzo biznes. Izzo bizness jana ali post  kupitia ukurasa wake wa Twitter.
 "Naskiliza interview ya Navio @East africa radio ame ulizwa msanii gani wa Tz ange penda kufanya nae collabo kasema Izzo Bizness...Humbled#Lets do this". Hicho ndicho alicho post Izzo.

izzo
 

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...