• Home
  • About

Niki minaji atoa cover la nyimbo yake mpya aki wa shirikisha Lil wayne , Drake na Chriss brown..



First lady wa YMCMB Nick Minaj baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya "Anaconda", ameachia Cover art ya Track mpya aliyoshirikiana na Lil wayne na Chris brown.…
 
 Firstlady wa YMCMB Nick Minaj baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya "Anaconda", ameachia Cover art ya Track mpya aliyoshirikiana na Lil wayne na Chris brown.

Cover hiyo aliiweka kwenye mtandao wa Instagram na kuandika "#ONLY - Tuesday,". Hii itakuwa track ya tatu kutokakwenye Album mpya ya Nick minaj "PinkPrint" Inayotoka tarehe 24 November. track ya kwanza ilikua "Pills n'potion" aliyoiachia tarehe 21 May mwaka huu na ilifanikiwa kushika namba 24 kwenye chat ya  "U.S. Billboard Hot 100" ya pili ilikua "Anaconda' aliyotoka tarehe 4 mwezi August huku ikifanikiwa kushika namba mbili kwenye chat ya  "Billboard Hot 100".

CREDIT TEAMTZ.COM

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...