• Home
  • About

Ray C ndivyo alivyo mjibu TID baada yaku mtusi Istagram

 
 Aliyekua msanii mkali wa muziki wa kizazi kipya Rehema chalamila 'RAY C' amabae hivi karibuni ame fungua foundation yake ikiwa ina deal na wa athirika wa madawa ya kulevya, wiki kadhaa nyuma palitokea kugongana kati yake na msanii mwenzie mkongwe TID kwenye Instagram rayc ame rudi naku mjibu baada ya kutolewa lugha chafu na msanii mwenzie huyo naku anza kwa kushukuru hali ya mama yake ilivyo kwa sasa kisha aka mjibu Tid.
  “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema............(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa...........” Ray C ameandika leo Instagram. Mtafaruku kati ya wasanii hao ulianza baada ya Ray C kucomment kwenye post ya TID ya Instagram akimtaka wazungumze.
 “Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
Baada ya comment hiyo, TID aliandika maelezo ambayo yalikuwa na matusi kwa Ray C.
“Bi*ch leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus f*ck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.”

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...