• Home
  • About

Mmiliki wa Top Band TID amwandikia "B**ch leave me alone...' Ray C

 Star, mkongwe wa muziki wa bongo flavour na Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.

 Star huyo ambae ni mmoja kati ya wasanii wanao daiwa kutumia madawa yakulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.Ndipo aka mshushia maneno..

“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
Ingawa Ray C hakufafanua katika comment yake aliyoiweka kwenye post ya picha ya TID inayotambulisha Refix ya wimbo wake ‘Asha ‘ uliofanywa na Lamar,  TID aliporomosha matusi akimtaka aachana nae kabisa.
“B*tch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you. Ur mistake is urs nakuomba can u just f**k off, help ur boyfriend, I have never liked you, full stop.”Ameandika TID
Hata hivyo mashabiki walioandika comments zao walimshambulia tena TID kutokana na kile alichomjibu Ray C ambaye hakutaja kabisa nia ya kutaka kuzungumza na Mnyama TID.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...