• Home
  • About

Diamond Platnumz ashinda Platinum Certificate...

 Mkali wa Bongo flavour Diamond platnumz ameweza kushinda cheti cha Platinum certificate katika tuzo za Kora

 "Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!". Hiki ndicho alicho andika kupitia ukurasa wake wa Face book.
Photo: Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!  
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/





Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...