• Home
  • About

Darasa ku fanyia video yake mpya ya 'Sio mbaya' Mkoani Singida..


Rapper mkali bongo anae faha mika kwa jina Darasa ame amua kwenda kuifanyia video yake mpya ya wimbo wa sio mbaya mkoani Singida. Rapper huyo ame sema kua
  "Nina taka kufanya tuu kitu tofauti na sisi kama classic music tuka fikiria sehemu bora zaidi ya kufanyia hii ni Singida kwa sababu tuli tembea sehemu nyingine before kuangalia sehemu ambayo inge tufaa ila tuka pendelea zaidi mazingira ya singida". Ali sema darasa.
  Aidha Direr wa video hiyo ni Director anae chipukia huku akiwa ame fanya video kadhaa kama Watu buu ya Bonta ft G-Nako ana fahamika kwa jina la Hans Cana
Director | Hans Cana

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...