• Home
  • About

Mzee small kuzikwa leo makaburi ya Tabata

 Aliye kua msanii maarufu wa maigizo na filamu Tanzania Saidi Ngamba 'Mzee Small' ana tarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Tabata Dar es salaam saa 10 jioni. Mzee small ame fariki akiwa hospitali ya Muhimbili Usiku wa kuamkia juma pili ambapo alikua aki patiwa matibabu.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...