• Home
  • About

Kim Kardashian atinga mtaanii bila Braa..


 Mwezi uliopita Kim Kardashian baada ya kufunga ndoa na alionekana akiwa amevaa mavazi safi kimaadili amefunika mwili wake wote tukasema ameamua kuwa mama bora.

Lakini katika hali isiyo ya kawaida, mwimbaji huyu amedadilika tena na ameoneaka jana kwenye mitaa ya New York akiwa amevaa koti Fulani huku likimuonesha akiwa hajavaa sidiria aka bra.
Mama Blue Ivy anahitaji ushauri?
Kim Kardashian MbiliKim K nneKim K sita
Kim tano

credit | sammisago

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...