• Home
  • About

John makini kuachia nyimbo yake mpya

 Mkali wa Hiphop kutokea kaskazini  John makini mmoja wa member wa kuu wa Weusi kampuni ame sema kua ame panga kuachia ngima yake mpya ya 'Isee me' Siku ya Jumaa nne tarehe 24 mwezi huu wa sita.

I See Me ni wimbo ambao aliwahi kuwasikiliza watu waliohudhuria kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wa Gere ya Weusi ambapo anasikika akijieleza kuwa anajiona mbali hata akimvuka Wale wa Marekani.
“I see me Internationally, I See Me overtaking Wale.” Anasikika Joh Makini.
Kupitia Twitter Joh ameandika, “NAJIONA MIMI (i see me) 24.6.2014..GOD ENGINEERING #VIBURI FLOW.”

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...