• Home
  • About

George Tyson kuagwa Juma tano hii naku safirishwa kwenda Kenya kesho hiyohiyo.

 Mwili wa marehemu  George Tyson una tarajiwa ku agwa siku ya kesho(June4) jumaa tano badala ya leo. Mwili wa marehemu una tarajiwa kupelekwa nyumbani kwake Mbezi makonde leo jioni saa kumi kwa ajili yaku agwa kifamilia.Na kuagwa kesho saa nne katika viwanja vya leders, Baada yaku agwa kwa mwili uta pelekwa air port naku safirishwa kwenda kwao Kisumu nchini Kenya.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...