• Home
  • About

Wiz khalifa akamatwa na Bangi Air port.


 Rapper Wiz khalif ame kamatwa juma pili hii katika uwanja wa ndege wa Texas Marekani akiwa na Bangi,Kwa mujibu wa TMZ, staa huyo alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas pindi maafisa walipogundua amebeba majani. Alipelekwa na kuwekwa kwenye kituo cha polisi cha jirani ambako waligundua kuwa alikuwa na bangi. Hata hivyo rapper huyo wa “We Dem Boyz” alitweet selfie akiwa jela na kuandika:

“I wanna drop 28 Grams but they got me locced up. Soon as I get out, the tapes comin out. Fucc that.”
Aliligeuza tukio hilo kuwa trending topic kwa kuanzisha hashtag ya #FreeTrapWiz. “They’re tryna figure out how many grams I had. How ironic,” aliongeza.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...