• Home
  • About

SAD NEWS : Msanii na muongozaji wa filamu zaki Tanzania Adam kuambiana aiaga dunia..


 Msanii na muongozaji wa filamu zaki Tanzania Adam Philip Kuambiana ame iaga dunia alfajiri ya leo akiwa Location maeneo ya sinza kwa Remmy, Adam ame iaga dunia asubuhi ya leo akiwa njiani kuwahishwa hospitali ya Kwa mama ngoma iliyopo mwenge baada ya kuanguka bafuni, Kabla ya umauti kumkuta Adam alikua aki laalmika kua tumbo lilikua liki msumbua.
 Marehemu adamu kuambiana amecheza filamu nyingi zikiwamo Jesika ikiwa Cini ya Bulls Enteratainment,Mr.Kadamanja chini ya 5Efects,Uliye mchokoza kaja,Lost sons,Broken Family nanyingine nyingii..
 Mungu ailaze mahala pema roho ya Adam tulikupenda ila mungu kaku penda zaidi,Nyuma yako mbele yetu.

1 comments:

R.I.P our lovely uncle,Brother,....

Reply

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...