• Home
  • About

PHOTOS | Hivi ndivyo kili music tour ilivyo kua moshi 24 | may 2014

1Hii ndio show ya kwanza kwenye ziara ya mikoa kadha itakayotembelewa na wasanii wa muziki wa bongo fleva na dance kupitia ziara ya kili 2014. Show hii ya kwanza imefanyika moshi kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Kilimanjaro na kupata mashabiki wangi waliokuja kutazama show na kuburudika. Wasanii walikuwa Mwana F A, Khadija koppa, Ben Pol, Weusi, Kala Jeremiah, Jambo Squad, Profesa Jay, Ommy Dimpoz,Warriors from the East, na Ney Wa Mitego. 2 4 5 6 7 8 9 10 15 16 17 19

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...