• Home
  • About

Nisha 'Huwa naona aibu kuzitizama movie zangu'


 Msanii wa filamu za vichekesho hapa bongo Salma jabu almaarufu 'Nisha' ame sema kua huwa ana ona aibu kutizama filamu alizo cheza yeye hasaa za commedy kutokana na vituko anavyo vifanya kwenye filamu hizo,
 Nisha ambae ame cheza filamu nyingi zikiwamo Pusi na Paku , Gumzo,Tikisa na nyinginezo ikiwamo na Zena na betina ambayo ina tarajiwa kuingia mtaani mwishoni mwa mwezi huu akiwa kashirikiana na Hanifa Daudi 'Jennifer'.
Cover la movie yake mpya ya Zena na Betina

Nisha akifanya mazungumzo na shabiki

Akitoa hisia zake kwa moja wa mashabiki zake walio msifia kwa kazi zake

 "Ningumu kuamini but huo ndio ukweli,Hata mimi nikijitizama huwa naona aibu,ndugu zangu hawa amini yule mtoto mpole anae ng'ata kidole hadi ukubwani leo kwenye tv ana fanya hayo...Thanks god ujumbe ume fika nime weza kuwafanya watu waamini mimi ni mcharuko hahaha.." Ali sema Nisha.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...