• Home
  • About

MUSIC | Michael Jackson ft Justin timberlake- Love never felt


 Ngoma mpya ya Michael jackson akiwa ame mshirikisha Justin Timberlake 'Love never felt so good',Ngoma hii nimoja ya ngoma zitakazo kuwapo kweye albamu yake mpya inayo enda kwa jina la 'XSCAPE'  inayo tarajiwa kuingia sokoni May 13 mwaka huu. Albamu ya XSCAPE itakua na nyimbo nane mpya zilizo rekodiwa kati kati ya mwaka 1983 na 1999

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...