• Home
  • About

Hili ndilo gari analo miliki Petter wa P-Squre


 Petter wa kundi la mapacha wawili la P-squre nae ame ingia kwenye oroza ya mastaa wanao sukuma ndinga 'Gari' Aina ya Bentley ya mwaka 2014 ambalo pia wana sukuma wasanii wengine kama akina Bow wow, T.I , Maino na The Game.Aliandika hivi kuhusu gari yake mpya kwenye ukurasa wa Instagram
“Ni My new TESTIMONY! @papiijameh stop hating. U 2 will soon Taste The Money. Lol #bentleygt2014#bentleyatlanta “
Ma new BABY… I’m sure @Lolaomotayo2011 wuld be so jealous of her. #bentleyGT2014#bentleyatlanta
 z 2

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...