Platnumz na Dimpoz wakati wa safari yao ya UK jana
Diamond ameshare baadhi ya picha za safari hiyo akiwa ameongozana na Ommy Dimpoz pamoja na meneja wake Babu Tale.
Licha ya kuwa Platnumz hajasema kilichompelela Uingereza, lakini mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ‘You Heard’ ya XXL, amethibitisha kuwa ‘baby’ wake pamoja na mambo mengine pia ameenda kushoot video.
Tale nae aliandika 'Asante mungu tumefika salama in London'
Hivi karibuni hit maker wa ‘Number 1′ alipokuwa Nigeria alisema ataenda
Uingereza kushoot video ya wimbo wake mpya unaotarajiwa kutoka mara
baada ya kukamilika.
Jumamosi
iliyopita Platnumz aliwaomba radhi mashabiki wake wa Uingereza kwa
kushindwa kufika kwaajili ya show iliyokuwa imepangwa kufanyika siku
hiyo (May 10) na kuahidi kuwa angesafiri siku si nyingi kwenda London
kwaajili ya show hiyo.
“APOLOGY to
my UK FANS due to the reasons beyond our control me and my team
@wcb_wasafi we won’t make it to the UK show tomorrow, But I promise you
that we will be in UK Soon for another big show…Trust Me! My team and my
Uk promoter @victordjrule_ BongoUk we sincerely sorry for the
inconvenience caused… Bt You can still go and support @chrissdarling and
@fullyfocus tomorrow #Rugby7AfterParty… “ Aliandika Instagram.
Credit : bongo61
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...