• Home
  • About

Wasanii zaidi ya mia moja wame ungana naku tengeneza nyimbo yaku hamasisha miaka 50 ya muungano..


Zaidi ya wasanii mia moja wakiwemo wasanii wa bongo fleva,taarab,gospel,na wengineo wameungana kwa pamoja na wamerekodi wimbo wa wa kuhamasisha sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) TANZANIA @50 Zaidi msikilize Mrisho Mpoto akizungumzumzia wimbo huo.hapo chini.

 

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...