• Home
  • About

'Video ya Gere kua zaidi ya nje ya box' Niki wapili asema...


Rapper niki wa pili kutokea kampuni ya 'WEUSI' ame sema kua changa moto waliyo kua nayo baada ya kutoa video ya Nje ya box ilikua niku tengeneza video nzuri na kali kuliko hiyo,Na sasa wame fanikiwa kuitengeneza video ya gere kua kali zaidi ya nje ya box.Aki endelea ali sema video hiyo inayo fanyiwa shooting nchini Kenya itakua ni zaidi ya nje ya box iliyo fanywa chini ya director Nisher na Nisher Entertainment.Video hiyo ina fanywa na director Inos kutokea nchini Kenya,Ame wahi kufanya kazi kama Kioo ya Jagwa na kazi ya Octopizo...
AMVCA-Trophy-
Huyu nimoja ya wasichana watakao onekana kwenye video hiyo..

weusi gere
photo ya sceen moja wapo katika video hiyo.



Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...