• Home
  • About

'Suprise,Furaha na Presha ndivyo vili nipa shock' Asema Queen Darling.

 Furaha isiyo naki fani,Suprise kubwa zili mfanya Msanii wa muziki Queen darlin ku poteza fahamu wakati wa uzinduzi wa video yake mpya hiyo juzi ndani ya Maisha club.Queen darlin alisema wakati aki jiandaa kupanda stajini ali shangaa kumuona kaka yake Diamond akiwa na Shettah waki panda stejini wakati yeye alikua akifahamu kua kaka yake yuko nchini Nigeria.Aka taja sababu nyingine kua ali shangaa ummati mkubwa wa mashabiki kiasi ambacho haku tegemea kuwapo kiasi kile.

 "Siku tegemea kwa kweli kua kunge kuwapo na mashabiki kiasikile na kwa kweli tangu huu mwaka uanze sidhani kama ku na yeyote aliye weza kuvunja rekodi yangu ya jana,Alafu uki zingatia mimi ni mwana mke ujue".Aka endelea.
 "Sasa kila mtu akawa ana kuja hatari ' Kuna watu wengi sana na watu wana zidi hadi nafasi hakuna,Kwa hiyo maneno ya watu yakawa yana ni changanya,Wana jua kuna mtu mwingine ana kuja fanya shoo ya uhakika.Baada yaku muona Naseeb pale ndio nka pata shock.Yeye ndio akanimbia 'Sikiliza niku ambie dada yangu,Usi fanyenini fanya shoo nzuri".
 Akasema kumuona kaka yake huyo kuka mfanya alie machozi ya furaha maana haku tegemea kumuona kaka yake siku hiyo akim support.
 Alisema kupitia show hiyo kume mfanya aji gundue kua kumbe ana washabiki wengi kiasikile hivyo ana takiwa kuchukulia muziki sirious sio kama ilivyo hivi sasa.Kupitia show hiyo pia ame sema ame weza kupokea simu kadha kutoka kwa ma promota akiwemo kutokea nchini DR CONGO
 MSIKILIZE HAPA

CREDIT | BONGO5.COM

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...