• Home
  • About

PHOTOS | Hivi ndivyo utengenezaji wa video ya Jux 'Nita subiri' unavyo endelea nchini China...


Mwimbaji wa muziki wa 'Nita subiri' Juma 'Jux' Yupo nchini China kwa ajili ya video shooting ya nyimo yake hiyo nita subiri ambayo ina semekana ku a mae muimbia mpenzi wake 'Jack clifford' ambae ina semekana kua mae kamatwa na dawa za kulevya nchini humo(China).Msanii huyo ame weza kushare picha kadhaa za mambo yalivyo huko location ya video hiyo.
Jux mwenyewe ame andika katika ukurasa wake wa Insta gramkua Director aliye ifanya video ya Uzuri wako ndiye huyohuyo anae ifanya na video hiyo hiyo ya nita subiri...Jux-2

Jux-3
Jux-5
Jux-4
"On set Uzuri wako video director now nita subiri Day1" Jux ali andika kwenye ukurasa wake wa Insta gram.
jux-7
Jux-1

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...