• Home
  • About

Hiki nikipya kutoka kwa Rayc foundation,Kuja na TV show ya 'pamoja inawezekana' kina husu madawa yakulevya.

 Msanii wa muziki wa izazi kiipya Rehema chalamila 'Ray C' ame amua kuja na kipindi chake cha Tv kwaajili yaku elimisha jamii juuu ya Madawa yakulevya.Kupitia foundation yake aliyo ianzisha ya 'Rayc foundation' ame anza kushoot kipindi hicho kitakacho rushwa kupitia vituo vya Tv japo bado haja eleza wala kutaja nikituo gani kitakacho rusha kipindi hicho,Kupitia acount yake ya insta gram RayC aliweza kupost picha aki mhoji Jacob Stivin 'JB' tokea bongo movie naku sema

 "Preparing my Tv program pamoja ina wezekana,Rayc foundation ina waletea kipindi cha pamoja inawezekana,Stay tune people more to come. Kipindi maalum cha 'Pamoja ina wezekana'  hivi karibuni mengi yana kuja kupitia taasisi yetu,Kwa walio mikoani mna weza kutupigia 0658009715 au barua peperaycfoundation2014@gmail.com,Itakua na mambo mengi yanayo husu athari au matatizo ya madawa yakulevya,Ewe ndugu jamaa unae sumbuliwa na madawa yaku levya usisite kuwasiliana na sisi tuku saidie kwa hali na mali".Alisema Rayc....
k (2)

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...