• Home
  • About

HAPPY BIRTHDAY | Leo nisiku yakuzaliwa kwa C.E.O Hans hassan wa habaribongotz 26.April

 Leo nisiku yakuzaliwa kwa C.E.O wa Habaribongotz Hans Hassan,Amezaliwa mwaka 1994 Mkoani kilimanjaro,Ame kulia jijini Dar es salaam.Ame anza kufanya kazi za blogs kuanzia mwaka 2012 akiwa na Bongotidings hadi ilipo sambaratika mwaka 2013 kisa kikiwa nikuto kuwa na maelewano n mwanzilishi mwenza,Ndipo aka ifungua habaribongotz mwaka huo 2013 september . Leo nisiku yake yaku zaliwa tusherehekee pamoja kama wapenzi wa Habaribongotz.blog
HAPPY B DATE HANS HASSAN

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...