• Home
  • About

Baada ya kutajwa kua yeye ndiye chanzo cha Psqure kutofautiana afunguka nakusema haya...

 Wakati mashabiki kibao kote duniani wa kundi la mapacha wawili Paul na piter 'Psqure' waki waombea waweze kumaliza tofauti zao zilizopo kati yao pamoja na kaka yao Jude Okoye,Mke wa Peter aliye tajwa kwenye ripoti ya tofauti hizo kua yeye ndio sababu ya familia hiyo kucheza lola Omotayo  ame funguka naku sema kua,

  "Ia'm a lady of substance though i hanve my shortcomings,I might not be loved by Everyone but the people that matters to me hold me in High Esteem and thats enough for me."
lola post

ali andika kupitia ukurasa wake wa facebook.

 Kwa mujibu wa Niger gists,Chanzo kimoja kina sema kua ndugu hao wana fanya jitihada zaku maliza tofauti zao.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...