"Wakati namsikiliza Mbunge wenu Mhe Bonna ameeleza kwa Uchungu na masikitiko Kwamba kuna Wananchi wanadai fidia na wameahidiwa kulipwa lakini bado hawajalipwa mpaka Sasa Wananchi wa Kipunguni na bahati nzuri Dkt Samia suluhu Hassan anajeshi zuri...
Idris Sultan amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’.
Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu
ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa,
demu wangu...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema anakubaliana na sera ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba “Marekani iwe ya Wamarekani”.
Bw Mugabe, ambaye ndiye mara ya kwanza anazungumzia utawala wa Bw Trump, amesema alishangazwa na ushindi wa kiongozi...
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC).
Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, station hiyo inaonekana kuwa...
Siku moja baada ya mfanyabiashara maarufu na mwenyekiti wa klabu ya
Yanga, Yusuf Manji kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda kwenye orodha ya pili ya watu wanaoshukiwa kujihusisha na
biashara ya dawa za kulevya, amemwaga mamilioni...
Chukua dakika zako kadhaa kuitizama video mpya kutoka kwa Chege aki shirikiana na Nandy nyimbo ikiitwa Kelele za chura. Video ikiwa ime fanywa na Wa nene chini ya director Destro...
Anza kufuatilia tamthilia mpya kutoka kwa vijana waki Tanzania ikiwa na jina Life on Campus.. Itakua iki ruka hewani kupitia Youtube channeli yao kila siku ya Juma nne na Ijumaa. Ta mthilia hii ime chezwa katika mazingira ya chuo kikuu cha Dare...
Christmas na rangi nyekundu ama nyeupe ni kama samaki na maji.
Na rangi hizo hazipatikani kwenye kadi, zawadi au kofia na mavazi ya
Father Christmas pekee, bali hata katika picha nzuri za Jokate Mwegelo
alizopiga kusherehekea sikukuu hiyo muhimu...
Yeas ,It's a new song new hit kutoka kwa Kavelio akishirikian na Fredwayne pamoja na OneTheIncredible . Hit iki enda kwa jina la "ALL EYES ON ME". Chukua time yako kuisikiliza hapa ...
Ommy Dimpoz ame achia nyimbo yake mpya KAJIANDAE akiwa kamshirikisha Ally kiba kwa mara nyingine baada ya kupita miaka minne ya ngoma waliyo fanya pamoja Nai nai. Audio ime fanywa na Ema the boy, Video iki tengenezwa na Jastin campos. Chukua...
Mwanamuziki Christian Bella amedai utakuwa unamkosea ukimwita yeye ni
msanii wa muziki wa bendi au msanii wa muziki wa bongofleva kwa kuwa
anafanya muziki wa aina nyingi.
Mkali huyo wa masauti ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nishike’,
ameiambia...