• Home
  • About

Wema kaolewa kwa siri,Athibitisha mwenyewe...


11186959_805536586181319_880415277_n
 Wema kwa sasa ni mke wa mtuu, Wema Izack Sepetu ame thibitisha kwa maneno juu ya picha alizo post insta gram akiwa kaa shela la harusi pamoja na pete, huku aki weka maneno kua ,
 "Never knew what Hapiness had to offer..... Until now... Im GrateFul & Thankful...."

Wema aki ongea na Soud brown wa clouds FM ali sema kua..
 " Ilikua tuu ni harusi ya siri, Tume oana bomani kwa sababu yeye ni mkristu , Baada ya hapo tuka enda double Tree. Hatujui tuta enda wapi kwa honeymoon kwasababu iam currently very tight"
 Wema haja mtaja ni nani alie muoa zaidi yaku sema
  "Siko teyari kumtaja mume wangu, He is very low profile"
Aki ongezea Muigizaji huyo Wema sepetu ame dai kua  haija pita hata miezi miwili toka wa fahamiane na mwana ume huyo.
 "I need a husband  I need a person ambae nita settle nae , Nime kaa peke yangu muda mrefu"
 Ume amini kua wema kaolewa? hii hapa misikilize.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...