• Home
  • About

Pddy & Cassie wa shoot tangazo kama porn +18

 Rapper na mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa Sean Combs a.k.a 'Pddy' ame viteka vichwa vya habari baada yaku toka na tangazo la pafyum mpya ya '3AM' lenye utata ambalo ame ingiza na girl friend wake Cassie .
diddy n cassie
 Katika tangazo hilo la tv ambalo wengi wame lipa hadhi ya porn , Diddy na Cassie wana onekana waki fanya vitendo visivyo faa kuonwa na aliye chiniya umri wa miaka +18.
 diddy n cassie-2

diddy n cassie-6diddy n cassie-8
diddy n cassie-9

 Tizama tangazo lenyewe hapa..
  
 

   

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...