• Home
  • About

Mahusiano kati Ya Lil Wayne Na Christina Milian Matokeo Ya Ngoma Ya “Rebel”

Young Money signee na muigizaji Christina Milian ameachia video yake ya single yake ya kwanza kutoka kwenye albamu yake ngoma inaitwa “Rebel”.

Kwa mara ya kwanza video hiyo kali ilionekana kupitia Entertainment Tonight  na alishare anavyoona yeye.
“Huu wimbo kwangu na upenda tu na unahusu maisha yangu ya ukweli na nadhani hicho ndicho wanachotaka mashabiki, hakuna kitu kizuri kama hisia hizo muunganiko mpya, unampenda mtu sana, kweli unaweza usijali kitu ambacho kila mtu anafikiria” anasema Christina Milian.
Alipoulizwa kama wimbo wake mpya wa Rebel ni kama uvumi ulivyoenea kwamba unamuhusu Lil Wayne alithibitisha huku akiwa anatabasamu.

 “Ni salama kusema inamuhusu mwanaume katika maisha yangu, ndiyo”
Kwenye wimbo huo, Milian anaimba "I'm such a rebel for you,ridin' in the coupe,waitin' on whats up (waiting' on whats up) Every time we ride, I'm rollin' up to you.I'm so comfortable, but this is terrible,
oh no, no, no. I'm in trouble now, i'm in trouble now,but the sex feels so good I'm like whatever now, whatever now. Its too late and I can't turn my back on the future.

Christina Milian katika mahojiano hayo ya dakika 3 pia anasema anafuraha kwa sababu Lil Wayne yuko kwenye ngoma yake inayoitwa “Do It” ambayo ipo kwenye albamu yake inayokuja.
 Isikilize hapa Audio ya nyimbo hiyo ya 'REBEL'

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...