• Home
  • About

Wema apata New deal la ubalozi..


Aliye wahi kua miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu ame pata deal kutoka kwa hospitali mpyaa hapa nchini inayo shughulika na macho, Hospitali hiyo ime mpa wema mkataba wa mwaka mmoja kua kama balozi. Meneja wa wema Martin Kadinda ame thibitisha hilo kuptitia ukurasa wake wa Insta gram kwaku andika,
 
  "Mrembo wa Tanzania , Muigizaji na mjasiria mali Wema sepetu, ame sign makubaliano yakua balozi wa Hospitalii ya kimataifa ya macho iliyopo AllHassan mwinyi road katika jengo la tropical House #Mkataba huu niwa mwaka mmoja .. Wema ame ahidi kua balozi wa hospitali hiyo iliyo kuja na mitambo mipya ambayo itawezesha vijana walioko chini ya umri wa miaka 35 wanao tumia miwani kuacha kabisa kutumuia miwani kwakua wana uwezo wakuondoa suala la uvaaji wa miwani kwa vijana "

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...