.
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ambae ameolewa na ana mtoto
mmoja, amesema kuwa mara kadhaa anapokuwa kambini akishuti filamu mume
wake, Dickson Matoke huwa anamfuata na kulala naye hadi asubuhi huku
akiamini kufanya hivyo kunachangia kutochepuka.
Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa kitendo cha mumewe kumfuata
haina maana kwamba wanavunja sheria zao bali hilo analifanya kwa kuwa
yeye ni mke wa mtu na huwa anapewa chumba chake maalum.
“Mara nyingi ninapokuwa lokesheni kama si mbali na nyumbani basi naenda
kumuona mume wangu na mtoto lakini kama ni mbali kidogo mume wangu huwa
anakuja na kulala na mimi chumbani kwangu, asubuhi anaondoka naendelea
na kazi yangu,” alisema Shamsa.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...