Dakika chache zilizopita zimefanyika tuzo za Ballon d’Or ambapo
wachezaji wa mwaka uliopita walikuwa wakitunukiwa na shirikisho la soka
ulimwenguni FiFA.
Mwanasoka bora wa msimu uliopita mreno Cristiano Ronaldo ameibuka mshindi kwa mara ya pili mfululizo.
Ronaldo alikuwa akichuana na Lionel Messi na Manuel Neur katika tuzo hizo.
Lakini baada ya kusubiri kwa takribani miezi miwili hatimaye nahodha
huyo wa Ureno akatangazwa kushinda tuzo hiyo – ikiwa sasa ni mara ya 3.
Cristiano Ronaldo alipata asilimia 37.66 ya kura zote huku Lionel Messi (15.76%) na Manuel_Neuer (15.72%).
Katika vipengele vingine – James Rodriguez alishinda tuzo ya goli
bora la mwaka, huku Nedine Kassler akishinda tuzo ya mwanasoka bora
mwanamke.
Manuel Neur alishinda tuzo ya golikipa bora huku kocha wake Joachim Law wa Ujerumani akishinda tuzo ya kocha bora
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...