• Home
  • About

VIDEO | Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)


New video kutoka kwa mwana dada Vanessa mdee anae hit na ngoma yake ya 'Hamjiui', Video yake hii mpya ni ya wimbo wake wa Come over ikiwa ime ongoza na Director kutokea Kenya Enos olik ambaee pia ame weza kuongoza video kadhaa kwabla ya hii zikiwamo Gere ya weusi na Kioo kutoka kwa Jaguar. Chukua time yako kuicheki.


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...