• Home
  • About

PHOTOS : Mrembo wa Young kila aji funikia manoti ya shilingi elfu kumi kama Blanket..

 Unapo saini mkataba wa show kibao haswaa za kili music una uhakika wakupokea mkwanja mnono kwenye acount yako. Hicho ndicho kilicho mtokea msanii wa kizazi kipya ama msanii bora chipukizi Young kila baada yaku saini mkataba wa show kibao za kili music tour, Na ame amua ku share mkwanja huo na mrembo wake Halimaty.

Mrembo Halimaty akiwa kaji funikia mkwanja kama shuka

rrrr

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...