• Home
  • About

Hiki ndo kipya kutoka kwa Vanessa Mdee baada ya Come over,

 
Hapo jana kupitia page yake ya Instagram Vanessa Mdee amepost cover la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hawajui’ ngoma hiyo inayotarajiwa kutoka June 13 na imetayarishwa na producer wa Switch Records, Nahreel.


 Stay tune itakua hapa kwa ajili yako.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...