• Home
  • About

B'hitz wa fungua new studio, napia waja na zao lao jipya..

 Bhitz wame zidi ku panua wigo wa muziki kwa kufungua new studio, CEO wa Bhitz Harmy B ame weza ku post picha ya studio hiyo mpya ya BHitz naku andika kupitia uku rasa wake wa Insta gram kuwa

  “Another B'hitz Studio....These Toys Make Me Happy....sasa sijui hii itakua B'hitz number ngapi.... @skywalkertz @chokadj @nchakalih @timesfmtz ...nipeni number au jina basi coz kuna ingine tena inakuja#BhitzLife.”
Harmy B

 Pia ali weza ku weka kionjo cha zao jipya kutoka kwenye tawi hilo la studio ya BHITZ,zao hilo lina tambuliwa kwa jina la snippet of a new district 9.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...