• Home
  • About

VIDEO | Huu ndio ulio kua wimbo wa kwanza kuufanya young killa 2007


 Huu ndio wimbo ama nyimbo ya kwanza aliyo wahi kuifanya Msanii bora chipukizi wa mwaka 2014 Young kila 'Msodoki enzi izo aki jiita Lil'K', Nyimbo hii alii fanya mwaka 2007 akiwa na msanii anae fanya poa kwa sasa Baraka Da prince ambae enzi hizo alikua aki jiita 'dogo Baraka'.Hebu chukua time yako kuiskiliza ngoma hii nakuitizama pia ili uweze kujua alipo anzia Young kila pamoja na Baraka Daprince.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...