• Home
  • About

SAD NEWS | Bongo movie wapata pigo jingine tena,Rachel Haule aiaga dunia..


  Pigo jingine tena kwa bongo movie Msanii Rachel Haule amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
Rachel Haule enzi za uhai wake..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...